Hiki ndicho Kilichomkuta Mwanadada huyu aliyevaa Nusu
Hiki ndicho Kilichomkuta Mwanadada huyu aliyevaa Nusu uchi Maeneo ya Sinza baada ya Vijana kutaka kumvua hadharani na kutokana na kuvaa kivazi hicho cha ajabu Ambapo aliokolewa na kijana wa bodaboda, hata hivyo likuwa tabu kwake kupanda bodaboda. Sijui huu ni uvaaji gani maana ndani, Akina dada kwanini Tuvae hivi, Mpaka aibu itukute?...Read
0 comments:
Post a Comment