NITAFUTE INSTAGRAM

Thursday, 12 February 2015

NAY WA MITEGO AZUNGUMZIA KIUNDANI KUHUSU WIMBO WAKE ALIOFANYA NA MKALI WA NIGERIA NA FURAHA YA NDOA YAKE

download
HitMaker wa Akadumba The True Boy Nay Wamitego Amefunguka Kuhusu Wimbo wake Mpya ambao Amefanya na Msanii Mkali Toka Nigeria Ambao umeshakamilika Audio yake na Sasa anahesabu siku za Kufanya Video ya Wimbo huo ambao amesema utakuwa wa Kimataifa.
Akiongea na Mtangazaji wa @MamboJamboRadio Arusha Hamis Abtway Maarufu Kama @DjHaazu Katika Kipindi cha DUNDO kinachoruka Redioni Hapo Kila siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa Kuanzia Saa Saba za Mchana hadi saa Kumi Jioni, Nay amesema kuwa tayari Audio Imeshakamilika na kutokana na Ukubwa wa Gharama Za Collabo hiyo ambayo Mpaka sasa amehesabu Shilingi za Kitanzania Milioni 60 Amepanga Kwenda Kushut Video Hiyo South Africa na kama haitakuwa hivyo Basi atamsafirisha Director Kelvin Bosco Toka Kenya Hadi South Africa kufanya Video hiyo.
Katika Mengi aliyoyazungumza Nay una haki ya kuyasikiliza yote hapa Chini ambapo pia ameweka Wazi jinsi anavyofurahia Ndoa yake ambayo kwa imempa Mtoto.
KUSIKILIZA INTERVIEW HIYO CLICK LINK HII:- NAY WA MITEGO ON DUNDO LA MAMBOJAMBO RADIO WITH

0 comments:

Post a Comment