by Djkilono.blogspt.com,,,,,,,,,twitter..facebook.com
Ofisa Mtendaji Wa Kijiji hicho Hussein Mkali amesema Partick alikatwa sehemu zake za siri na mpwa wake Zainabu Saidi baada ya kumkatalia kwenda kumfuata mume wake anaeitwa Musa Said aliyekuwa kwa mke mdogo.
Baada ya kufanya tukio hilo Ofisi ya Kijiji ilimkamata Zainabu na kumpeleka katika kituo cha Polisi, huku Patriki akipelekwa Hospitali ya Tunduru kwa ajili ya matibabu.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania, Feb 21 2015.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
0 comments:
Post a Comment