Picha Za Utengenezwaji Wa Video Ya Victoria Kimani Ft Diamond&Ommy Dimpoz - Proko DJ KILONO Uchukuaji wa video ya wimbo wa muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ‘Prokoto’, ambao kawashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond. Video ilifanyika Ijumaa (July 11) jijini Dar es salaam na kuongozwa na director wa Kenya Kevin Bosco.
0 comments:
Post a Comment