Picha hii imepostiwa kupitia Acc ya msanii wa Nay Wamitego akiwa yupo
kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili
wake ukiwa wazi / unaonekana.Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.
Alichoandika Nay Wamitego ni "Ooooh shiiiit!!!!"

0 comments:
Post a Comment